Hi everyone my name PASCAL VENANCE, am the founder of the 3D
Animators in TZ, Tanzania Animation Artist. Wakati naanza safari yangu ya
Animation nilijua niko peke yangu, lakin badae nilijua kuna wenzangu wanaopenda
kufanya Animation kama mimi.
Hivyo basi sikujua nianzie wapi ili nifike kule
ninapopataka. Nilianza kupitia mitandaoni
hasa Facebook. Mwaka 2012,nikaamua kufungua Group Facebook kwa ajili ya
kukutana na watu ambao nitaweza kubadilishana nao mawazo na kuleta mapinduzi
kwenye Animations. Na ivyo watu wengi niliokutana nao mwanzoni walikua Wazungu
na Wahindi.
Nakumbuka sana kwa Tanzania hii mtu wa kwanza kukutana nae
na pia ni kijana mwenzangu ambae pia anafanya Animations, Graphics in Motion na
VFX, alikua RONALD FUGARA. Nilihisi faraja sababu alinifundisha pia vitu vingi
hasa LIGHTWAVE 3D, Na pia niliweza kukutana na Sayd Fuad kutoka Zanzibari akiwa
nae anafanya Animation, Colly wa Tanskillz pia, Henry Kafuku pia, lakin badae
niliweza kukutana na Yusuf Wickama ambae hasa anafanya VFX na Simulations.
Nakumbuka pia nilivokutana na GEORGE LUPEZA ambae alikua
anatumia Blender, na nikakutana apo pia SULTAN TAMBA, Director wa zamani wa
Filamu za Kitanzania ambae pia anafanya Animations,Team ikawa inaongezeka muda baada ya muda. Lakini watu wa nje
nliokutana nao pia siwez kuwasahau,kama MASSA BRUNO, PRIYANKAR BHATTACHARJEE,
SUBHAYAN BHATTACHARJEE, ALEX SMITH. Na wengineo.
Kwa upande wangu, Software ambazo nlikua natumia, na pia kwa
kuanza nilianza na Software za REALLUSION, na nikaanza na CrayzTalk 6 for
facial Animations, na pia nilianza kutumia CrayzTalk Animator PRO, for full
body Animation, mpaka sasa bado natumia pia. Na apo pia nikaanza kutumia iClone
5 For 3D Animations. Japo ni software za kitoto ila niliweza kujifunza ivyo
ivyo, Badae nikaanza kujifunza Blender hasa baada ya kukutana mtandaoni na
GEOFREY MAYOLO, wakati huo nilikua naiona ngumu kwangu sababu nilikua nishazoea
software zenye templates, Wakati najifunza Blender ndo ilikua kipindi ambacho
nakutana na LUCAS ACUMEN, nikaamua kufungua group la WHATSAP,
nakumbuka tulikua wachache sana,alikua LUCAS,RONALD, FUAD, WIKAMA, TAMBA,
ADELINA, CUTHBERT na MAYOLO, akiwemo NASSORO au CHOLOWAO, na tulikua
tunaelewana kwa kweli yani na group lilikua limetulia.
Lakini Group lilikuja kuongezeka members baada ya
kufunguliwa kwa kampuni ambazo zinafanya ANIMATIONS, so hapo MEMBERS wakaanza
kua wengi, Hapo ndo nilipokutana na GEORGE MPEPO nae anafanya ANIMATION kwa
kutumia BLENDER, Apo pia nikakutana na STEVE KABUYE akiwa anafanya sana MOTION GRAPHICS kwa kutumia
Cinema 4D, na pia niliweza kukutana na JUSTICE NOVATI na wafanyakazi wengine wa iDev Company. Katika
kipindi icho CONNECTION yetu ya kazi na watu wanaofanya ANIMATION ikawa inazidi
kuongezeka na pia nikampata ELNEST MWAMI nae akiwa anafanya ANIMATION na BLENDER ambae aliletwa na Lupeza, na baada ya kuja Elnest akamleta ROBERT MAGEMBE. Hapo pia mfanyakazi wa ITV ROY REUBEN akaja pia kuungana na
sisi akiwa anafanya ANIMATION kwa kutumia AUTODESK MAYA.
Hakika nimeweza kukutana na watu wengi wazuri ambao wamekua
msaada mkubwa kwangu, na wameweza kunipa SUPPORT mpaka hapa nilipofikia kwa
sasa. Na kuna Gabriel Goodluck, Erick Malz, Ben Gang, George Arch, hawa
nilikutana nao instagram na nashkuru na pia walinielewa nia yangu.
Katika kitu ambacho siwezi kukisahau ni kipindi ambacho
nakutana na Familia ambayo wote wanafanya 3D. Na kilichonishangaza zaidi na
wala sikuamini kabisa ni kukutana na mmoja wa familia iyo nae akifanya 3D, WINFRIDA
SENGA msichana ambae anafanya 3D hasa INTERIOR DESIGN. Akiwa amesomea CHUO CHA
ARDHI. Ni hayo tu..siwezi kuongea mengine. Lakini pia nimeweza kukutana na
wasichana wengine wanaofanya ARCHITEC akiwemo
VIOLET na EVA SAKINOI. Na sasa wakiwa wameongezeka akiwemo HONNORATHA
MEERA, NULU LIYAU ambae ni Balozi wa Vijana Afrika Mashariki, na FRIDA MDUMA.
Pia yupo SUBIRA MSANGI ambae ni GRAPHICS DESIGNER.
Kwa sasa nafanya kazi kwa Maria Sarungi Tsehai, Compass
Communications Co LTD nikiwa kama Assistant Editor na nikiwa nafanya pia
Graphics in Motion. Na sasa hivi nikiwa natumia Cinema 4D for motion graphics,
Zbrush for character modeling,na pia Blender na Lightwave. Na kwa 2D Animation
natumia Anime Studio na CrayzTalk Animator PRO.
Daima nafurahi kutoka moyoni kwamba nimewakutanisha watu
mbali mbali wameweza kubadilishana mawazo na kujifunza,kufundishana pia, na
nimeweza kugundua vitu vingi kutoka kwao, mpaka hatua ya mimi kuwaleta pamoja
lakini nasikitika sana kuona kwamba kuna watu ambao bado hawapendi kile
nilichokifanya na wanaonekana hawaoni umuhimu wangu kwao, na ata swala la umoja
wa kufanya kazi kwa pamoja na kushirikiana hawalitaki, kiukweli yani naongea
kutoka moyoni mwangu, jambo hili linaniumiza sana moyoni, lakini wale nilioanza
nao wamekua wakinielewa nini nataka, Umoja ndo kila kitu kwetu. Hebu
angalia wewe ulikotoka mpaka ulikofikia hapa, nimeweza kukutanisha na watu wengi wanaofanya ANIMATIONS, Je bila mimi ungefika hapo wewe ulipo??? Wala sijisifu..!! Lakini cha kushangaza kuna watu wamekua kama wachochezi wa kuvunja huu UMOJA nilioutengeneza kwa miaka 4. Najaribu tuu kusema. Hebu fikiria, kaa chini na utafakari, mfano tuu niko na Ronald na Wikama kwa miaka 4 ivi, hawa ndo wangekua wa kwanza kuvunja UMOJA huu, lakini mpaka leo hii tuko pamoja na nia yetu ni moja, Kuna watu ni waaminifu sana kwangu na nashukuru sana kuwa nao karibu,mmekua mnanisaidia kimawazo sana tena sana. NAWASHKURU SANA. NA NAAMINI HUU NI MWANZO TU!
angalia wewe ulikotoka mpaka ulikofikia hapa, nimeweza kukutanisha na watu wengi wanaofanya ANIMATIONS, Je bila mimi ungefika hapo wewe ulipo??? Wala sijisifu..!! Lakini cha kushangaza kuna watu wamekua kama wachochezi wa kuvunja huu UMOJA nilioutengeneza kwa miaka 4. Najaribu tuu kusema. Hebu fikiria, kaa chini na utafakari, mfano tuu niko na Ronald na Wikama kwa miaka 4 ivi, hawa ndo wangekua wa kwanza kuvunja UMOJA huu, lakini mpaka leo hii tuko pamoja na nia yetu ni moja, Kuna watu ni waaminifu sana kwangu na nashukuru sana kuwa nao karibu,mmekua mnanisaidia kimawazo sana tena sana. NAWASHKURU SANA. NA NAAMINI HUU NI MWANZO TU!
BILA KUSAHAU NAWASHUKURU WOTE WALIONIWEZESHA HADI NAFIKA
HAPA LEO HII.. Na kuwataja wengine amabao kwa namna moja ama nyingine wameweza
kuleta hali Fulani ya mabadiliko au naweza kusema IMPROVEMENT kwangu na kwa
wengine pia, akiwemo ALEX PANCRAS, ROY MLONDA na ERICK BRANCO. Na nawashukuru
sana SAIDI MICHAEL mchoraji wa katuni za WAKUDATA, na FADHIL MOHAMEDI mchoraji
wa katuni za KABWELA.
ASANTENI.
inspiring post bro, nice one
ReplyDeleteAsante sana Gabriel.. tuko pamoja
DeleteCongratulation broo
DeleteNice one
ReplyDeleteAsante Betuelly!
DeletePerfect
ReplyDeleteAsante sana Mume mwenza.. tena sana Lucas. naitaji sana msaada wako.
DeleteNice bro, Keep up good work.
ReplyDeletethanks man.. kaka naomba tuzidi kupeana sapoti.. turekebishane, tuelekezane pia.. nashkuru pia uwepo wako pia kwetu umetubadilisha sana.
DeleteNimeipenda hiyo. Keep that spirit Pascal.
ReplyDeleteAsante sana kaka mnyakyusa..tuko pamoja naamini ilo na tutafika tu kule tunakopataka!
DeleteYou are such an inspiring instrumental key to youth...
ReplyDeleteNashkuru sana kaka Bernard... japo ni mara yangu ya kwanza kukutana na wewe leo!
DeleteNAITAJI SANA MSAADA WENU, MAWAZO YENU NDO KILA KITU KWANGU.. NAWASHURU SANA
ReplyDeletetuko pamoja kaka
DeleteHiyo safari ndefu sana! Hongera!
ReplyDeleteKaka Robert Magembe upoo ad ukuu...aahaahaa asante sana kaka
DeleteNi dhahiri kua ndo zako zimeanza kutimia kijana, nakukumbuka sana wakati unaanza..hahahah....welcome to coding am there too.
ReplyDeleteAsante sana kaka Sayd Fuad...nakumbuka sana enzi izo tunakutana mtandaoni.. Pia kaka mpaka Leo hii Niko apa...kuna watu wananiangusha.. Kuna watu wanachukia nilichofanya, hawapendi, yan wana Ego's wanatamani wangekua wao ndo Mimi...wanatamani Uongozi tena UROHO wa dhahiri ambao unaonekana kabisaa yani.. Nashukuru niko na Ronad Fugara..mpaka leo hii tunaelewana Na akiharibiki kitu...japo kuna unafiki wa apa na pale ambao watu wanautengeneza lakini bado..na wala sijui kukata tamaa.
ReplyDeletekijana safi xna, siamini ulijitoa muhanga for 4 year to make me here i am , bila ww pia hata mm nisingekuwa hapa nilipo kwa speed hii... umenikutanisha na wengi pia thanx much bro, usikate tamaa wako wengi km mimi wanakusubiri ww huko nje.... ur de saviour of my career, thanx bro
ReplyDeleteAahaahaa bwana Frank upoo!!??? Asante sana kaka.. Tufanye yetu kaka
DeleteNi Jambo zuri ulilolifanya kufikia sasa, tunategemea kuona kitu kingine tofauti cha maendeleo katika CG community toka kwako. Challenges zote ulizokutananazo zilikua ni zamuhimu sana yakupasa uzichukulie kama changamoto na usiunde uadui.
ReplyDeleteHakuna maendeleo yasio na changamoto.
Keep nice work bro.
Nashkuru sana kaka kwa mawazo yako.. Asante tuko pamoja sana!!
Deleteaahahahaahaahahaha Mayolo i got u bro.... mimi niko sawa kaka ila kuna mengi sana nataka kuyaweka sawa.. we mwenyewe unajua tulikokotoka. tulikoanzia mpaka apa tulipofikia... siwez kuruhusu ujinga utokee tena wa kutusambaratisha... Asante sana kaka na nashkuru sana kwa mawazo yako na pia endeleza harakati braza. Tuko pamoja sana!
DeleteThis is an inspiring article. Hongera!!
ReplyDeleteAsante sana HONO.. Asante pia kwa kunielewa!!
DeleteThis website has grown am inspired with all these comments
ReplyDeleteMume mwenza nashkuru kwa EFFORTS zako kaka... Tena sana man.. Ahaahaa me & u bro tufanye yetu mpaka tutoke kwenye RATRACES!
DeleteAwesome post bro, very inspiring and motivating. Well done bro, big up kwa sana
ReplyDeleteCharles you are good in story boarding...za Animation... Please tupeane sapot please!!!
DeleteAsante sana lakini Charles!!
Deletecongratulation! u made it ...keep it up dear�� all the best
ReplyDeleteJirani asante sana.. Momoxa Ney...
DeleteThis is an inspiration to me. Congratulations dear brother may Almighty God guide you.
DeleteThis is an inspiration to me. Congratulations dear brother may Almighty God guide you.
DeleteAsante sana Violet..tuko pamoja
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletecongratulations bruh...am proud aisee! 😄
ReplyDeletecongratulations bruh...am proud aisee! 😄
ReplyDeleteCongratulations dear brother may Almighty God guide you.
ReplyDeleteCongratulations dear brother may Almighty God guide you.
ReplyDeleteNice work you did brother kutukutanisha! Sisi tunaona umuhimu wa huu muungano! Tutafanya jambo kubwa tu soon!
ReplyDeleteGood work bro bravo
ReplyDelete